HOME > DESIGN > Jifunze Canva Design

Jifunze Canva Design

  • DESIGN
  • Dec 21, 2024
SynopsisJifunze Canva Design, available at $49.99, with 23 lectures....
Jifunze Canva Design  No.1

Jifunze Canva Design, available at $49.99, with 23 lectures.

You will learn about Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia program ya Canva Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia tools Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa documents za Canva Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuedit templates Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kuedit Videos Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kufanya designing za Business cards, flyers posters, invitation cards .k Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kumaster Shapes This course is ideal for individuals who are Mtu yeyote anaetaka kujifunza Canva kufanya design, Kuanzia Beginner hadi Advanced level It is particularly useful for Mtu yeyote anaetaka kujifunza Canva kufanya design, Kuanzia Beginner hadi Advanced level.

Enroll now: Jifunze Canva Design

Summary

Title: Jifunze Canva Design

Price: $49.99

Number of Lectures: 23

Number of Published Lectures: 23

Number of Curriculum Items: 23

Number of Published Curriculum Objects: 23

Original Price: $19.99

Quality Status: approved

Status: Live

What You Will Learn

  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia program ya Canva
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia tools
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa documents za Canva
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuedit templates
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kuedit Videos
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kufanya designing za Business cards, flyers posters, invitation cards .k
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kumaster Shapes
  • Who Should Attend

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Canva kufanya design, Kuanzia Beginner hadi Advanced level
  • Target Audiences

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Canva kufanya design, Kuanzia Beginner hadi Advanced level
  • Karibu katika mafunzo Graphics Design & Video Editing kwa kutumia programu ya Canva. Ni programu inayotumika kufanya Designing na editing za videos na picha mbalimbali. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia Program ya canva, kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile posters design, business cards design, invitation cards design, Flyers design, n.k uatapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

    Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.

    Course Curriculum

    Chapter 1: Utangulizi

    Lecture 1: 00. Muongozo wa mafunzo

    Lecture 2: Mwongozo wa mafunzo

    Chapter 2: Mwanzo wa Mafunzo ya Canva

    Lecture 1: 01. Jinsi ya kufungua akaunti ya Canva

    Lecture 2: 02. Jinsi ya kuanza kutumia Canva

    Lecture 3: 03. Jinsi ya kutumia Elements

    Lecture 4: 04. Jinsi ya kutumia Charts & Graphs

    Lecture 5: 05. Jinsi ya kutumia Icons & Frames

    Lecture 6: 06. Jinsi ya kutumia Text

    Lecture 7: 07. Jinsi ya kuingiza Picha, Video & Audio kwenye Canva

    Lecture 8: 08. Jinsi ya kuedit Picha

    Lecture 9: 09. Jinsi ya kuedit Videos

    Lecture 10: 10. Jinsi ya kuedit Video sehemu ya pili

    Lecture 11: 11. Jinsi ya kudesign Posters

    Lecture 12: 12. Jinsi ya kudesign posters sehemu ya pili

    Lecture 13: 13. Jinsi ya kudesign Flyers/kipeperushi

    Lecture 14: 14. Jinsi ya kudesign Flyers/kipeperushi sehemu ya pili

    Lecture 15: 15. Jinsi ya kudesign Brochure/kipeperushi mkunjo

    Lecture 16: 16. Jinsi ya kudesign Business Cards

    Lecture 17: 17. Jinsi ya kudesign Business Cards sehemu ya pili

    Lecture 18: 18. Jinsi ya kudesign Invintation Cards/Kadi za mwaliko

    Lecture 19: 19. Jinsi ya kudesign Invintation Cards/Kadi za mwaliko sehemu ya pili

    Lecture 20: 20. Jinsi ya kudesign Yuotube banners

    Lecture 21: 21. Jinsi ya kudownload au ku-export Design yako na Video zako

    Instructors

  • Jifunze Canva Design  No.2
    Mitambo Hafidhi
    Mkufunzi Udemy
  • Rating Distribution

  • 1 stars: 0 votes
  • 2 stars: 0 votes
  • 3 stars: 0 votes
  • 4 stars: 0 votes
  • 5 stars: 0 votes
  • Frequently Asked Questions

    How long do I have access to the course materials?

    You can view and review the lecture materials indefinitely, like an on-demand channel.

    Can I take my courses with me wherever I go?

    Definitely! If you have an internet connection, courses on Udemy are available on any device at any time. If you don’t have an internet connection, some instructors also let their students download course lectures. That’s up to the instructor though, so make sure you get on their good side!